Katika mfululizo wa barua zetu kutoka kwa waandishi wa habari wa Kiafrika, mwandishi wa Kitanzania Sammy Awami anaangazia ni nini kilicho nyuma ya hatua za hivi karibuni dhidi ya mapenzi ya jinsia ...
Bunge la Tanzania limepinga vikali baadhi ya maazimio yaliyotolewa na Bunge la Ulaya kuhusu masuala ya kisiasa na kijamii ya ndani ya nchi, likilenga hasa hoja ya kutambua mapenzi ya jinsia moja.
Kama kuna jambo limeangaziwa sana kilimwengu nchini Tanzania katika siku za hivi karibuni, basi ni kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya ...